Hivi wadada mnawekaga kumbukumbu kama mimi??

Kuna jamaa alikuwa ana ngoma
Akilala na manzi anaweka tiki.
Siku moja akaangusha notebook.
Ilikuwa balaa.Ilibidi ahame mji.
 
Nimependa hapo chini ulivyoweka tangazo lako vizuri"the queen of all weather"

Yaani mambo ni Konki,OIL chafu kama kawa
 
"Mambembe" i dont know where u got ur name but kila nikiliona na comment zako mkongojo lazima upande mnara
 
Ungepiga picha ya template tukaona, kwamba huwa unatiki vitu gani, labda na route ya mkuyenge huwa unatiki kama ni mboleani au utelezini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…