Hivi wadada mnawekaga kumbukumbu kama mimi??

World isn't fair kuna mtu mahali anaplan kukuoa eti na anajisifia kwamba amepata chombo....
 
Cha ajabu ukija kukutana na mtoa mada ndio yale yale kama baamedi,wakati huku unamuona slay queen hatari
 
Tena mpkaa wanaliliaaa ....na list nikiitazama nachekaga mwenyewe
World isn't fair kuna mtu mahali anaplan kukuoa eti na anajisifia kwamba amepata chombo....
 
Usifananishe dada zako na waru wengine na huwez kukutana na mm cheza unapochezagaa mi sio type yako
Cha ajabu ukija kukutana na mtoa mada ndio yale yale kama baamedi,wakati huku unamuona slay queen hatari
 
Sihifadhi kwenye diary ila kichwani hua zipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…