HorsePower
JF-Expert Member
- Aug 22, 2008
- 3,612
- 2,567
Unamkuta mdada amegharimiwa kila kitu na mpenziwe au mumewe; Nyumba, gari, vifaa vya ndani, pesa za matumizi ukaribu na maufundi ya kila aina. Kesho keshokutwa unamkuta anatembea na house boy au Dereva wake au pengine hata mchota maji au mfyeka nyasi wa nyumbani,
Mna nini jamani?
Hii imetokea mtaani kwetu jana tu!!
Sio wote wanaofanya huo uchafu
ndivyo walivyoumbwa ni viumbe wadhaifu sana ndo maana unapokuwa 6/6/ unaweza kumfanya kitu chochote bila kukataa. Nashut down
Vipi kuhusu wababa kutenbea na housegirls; haiumi eeh?
hapo ndipo wanamme hukosea, eti nyumba, magari na pesa, aliyekuambia tunatoka kwa wazazi wetu kufuata hivyo ni nani?
Kama kula umemkuta mkeo anakula, anavaa, anasafiri, na analala ndani
weka heshima usiku uone kama mkeo ataliwa na vibajaj.
ukiona ivo ujue huyo mmiliki hayawezi mamboUnamkuta mdada amegharimiwa kila kitu na mpenziwe au mumewe; Nyumba, gari, vifaa vya ndani, pesa za matumizi ukaribu na maufundi ya kila aina. Kesho keshokutwa unamkuta anatembea na house boy au Dereva wake au pengine hata mchota maji au mfyeka nyasi wa nyumbani,
Mna nini jamani?
Hii imetokea mtaani kwetu jana tu!!