Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
Khaaa!!!ndivyo walivyoumbwa ni viumbe wadhaifu sana ndo maana unapokuwa 6/6/ unaweza kumfanya kitu chochote bila kukataa. Nashut down
Ndoa sio nyumba magari na pesa,
Mwanaume hasifiwi pesa wala utajiri na mkewe,
Mwambie huyo mwanaume arejee mafundisho ya ndoa,aache kulalamika hovyo,
Hapo anajiabisha mwenyewe,kazi imemshinda vijana wanaonyesha ujuzi kwa mkewe.
Wakat mwngne huwa wanakuwa na tamaa za ajabu!
Unamkuta mdada amegharimiwa kila kitu na mpenziwe au mumewe; Nyumba, gari, vifaa vya ndani, pesa za matumizi ukaribu na maufundi ya kila aina. Kesho keshokutwa unamkuta anatembea na house boy au Dereva wake au pengine hata mchota maji au mfyeka nyasi wa nyumbani,
Mna nini jamani?
Hii imetokea mtaani kwetu jana tu!!
Atleast wangekuwa wanaishia kwa housegirls tu, mpaka mabinti zao wanatembea nao!!! Nyumbani kazi yao ni kuacha tu kodi ya meza, kujaza mafuta kwenye gari then haoo wanachikichia as if wife alifata hayo magari. Kurudi penyewe usiku wa manane..........mbona watajibeba!!!
tatizo nyie wanaume makosa yenu hamyaoni ila ya wadada ndo mmeyakazania shame upon u all ummezidi ku2kandamiza ss wa dada loooooo
Are you sure?? Hivi kwanza unasemea wanawake wa aina gani?? Or are we talking of sex hookers hapa?? Jisachi.............
mapenzi sio pesa ingawa pesa ina umuhimu kwenye mapenzi. Katafakari haya utapata jibu
Umeona eeeh....! kuna baaadhi ya wanaume hawajui hilo,wame-krem kuwa ili mdada aamini anapendwa lazima anunuliwe gari nk....bila kujua anaruka step..
Unamkuta mdada amegharimiwa kila kitu na mpenziwe au mumewe; Nyumba, gari, vifaa vya ndani, pesa za matumizi ukaribu na maufundi ya kila aina. Kesho keshokutwa unamkuta anatembea na house boy au Dereva wake au pengine hata mchota maji au mfyeka nyasi wa nyumbani,
Mna nini jamani?
Hii imetokea mtaani kwetu jana tu!!