Hivi wadau, hapa utatoka vipi

Hivi wadau, hapa utatoka vipi

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
= Umeingia chooni na kukuta Mavi ya maana yameshushwa pembeni ya choo Muda mfupi uliopita..! Mara ukaamua kuahirisha zoezi la kujisaidia na kuskia kutoka chooni.., Wakati unatoka chooni Mlangoni ukapishana na mpenzi unaye mtamani kila siku Naye anataka kuingia chooni...! JE UTAFANYAJE ???? Na utamthibitisha vipi kuwa ule mzigo sio wa kwako
..? Usicheke naomba Jibu ...
 
Hahahhaaa. Hapo Mimi ni kumstopisha huyo mpenzi namwambie hata asiende huko kuna mtu kachafua hali ya hewa, hata mimi imebidi nikimbie. akikomaa sana tunachoma wote toi halifu mimi natangulia ili nimuoneshe, kisha nasisitiza mimi huwa sishushi mzigo mkubwa namna ile
 
Hehehehe!! Umetisha, lakini swali liko pale pale, utamthibitishia vipi sio mzigo wa kwako. Maana kumwambia kwamba sio wako haitoshi, kumbuka huyu ni demu ambaye umekua ukimfanyia timing na kumuwinda siku zote, hivyo kila neno utakalosema lazima uwe makini.
 
Si Amesema atashusha wa kwake kwanza kabla ya demu wake before her, ili demu aone kwamba ule mzigo Jamaa haumuhusu .... Coz hawezi kupiga game twice mfululizo
 
Namwambia... alafu uwe unasafisha choo.. umekiacha kuchafu hivi...
 
Itabidi nimwelezee hali halisi na kama ni wakielewa ataelewa na wala hataingia chooni ila kama atakomaa nitamwacha aingie tu ,na kunihusisha Mimi na mzigo ile ni uamuzi wake ambao mm sitakuwa na jinsi ya kuubadili
 
Hahahhaaa. Hapo Mimi ni kumstopisha huyo mpenzi namwambie hata asiende huko kuna mtu kachafua hali ya hewa, hata mimi imebidi nikimbie. akikomaa sana tunachoma wote toi halifu mimi natangulia ili nimuoneshe, kisha nasisitiza mimi huwa sishushi mzigo mkubwa namna ile
Umeua mwana!kumbe mzigo huwa unaendana na mtu na mtu!ila kumbuka km we tinginya kibonge ataamini tu mzigo ni wako
 
Wataalam wanasema wenye vibamia ndo huwa wanashusha mizigo ya maana!!hehe
 
Back
Top Bottom