Hapo umenena mkuuIko hivi unapoingia chooni hata kama hukufanya mambo yako kiache safi for the sake of your personality
Hahahhaaa. Hapo Mimi ni kumstopisha huyo mpenzi namwambie hata asiende huko kuna mtu kachafua hali ya hewa, hata mimi imebidi nikimbie. akikomaa sana tunachoma wote toi halifu mimi natangulia ili nimuoneshe, kisha nasisitiza mimi huwa sishushi mzigo mkubwa namna ile= Umeingia chooni na kukuta Mavi ya maana yameshushwa pembeni ya choo Muda mfupi uliopita..! Mara ukaamua kuahirisha zoezi la kujisaidia na kuskia kutoka chooni.., Wakati unatoka chooni Mlangoni ukapishana na mpenzi unaye mtamani kila siku Naye anataka kuingia chooni...! JE UTAFANYAJE ???? Na utamthibitisha vipi kuwa ule mzigo sio wa kwako
..? Usicheke naomba Jibu ...
Hahahhaaa. Hapo Mimi ni kumstopisha huyo mpenzi namwambie hata asiende huko kuna mtu kachafua hali ya hewa, hata mimi imebidi nikimbie. akikomaa sana tunachoma wote toi halifu mimi natangulia ili nimuoneshe, kisha nasisitiza mimi huwa sishushi mzigo mkubwa namna ile
Kwa kua situmii choo cha walevi hii hali haiwezi nikutaJE UTAFANYAJE ????
..? Usicheke naomba Jibu ...
Umeua mwana!kumbe mzigo huwa unaendana na mtu na mtu!ila kumbuka km we tinginya kibonge ataamini tu mzigo ni wakoHahahhaaa. Hapo Mimi ni kumstopisha huyo mpenzi namwambie hata asiende huko kuna mtu kachafua hali ya hewa, hata mimi imebidi nikimbie. akikomaa sana tunachoma wote toi halifu mimi natangulia ili nimuoneshe, kisha nasisitiza mimi huwa sishushi mzigo mkubwa namna ile