Hivi wafanyakazi wa TRA nao wanakatwa PAYE kama kada nyingine?

Hivi wafanyakazi wa TRA nao wanakatwa PAYE kama kada nyingine?

Pantosha

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
640
Reaction score
958
Maumivu ya kodi ya pay as you earn (PAYE) ni makali mno. Ila sipati shida kwa sababu wote wanapendekeza hiko kiwango cha kodi na ku approve haiwahusu. 🤣🤣🤣Raha sana hii nchi.

Sasa wenzetu na mimi waliopo TRA nao wanakatwa? Au ndiyo wana compensate kwa bonus?
 
Maumivu ya kodi ya pay as you earn (PAYE) ni makali mno. Ila sipati shida kwa sababu wote wanapendekeza hiko kiwango cha kodi na ku approve haiwahusu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Raha sana hii nchi.

Sasa wenzetu na mimi waliopo TRA nao wanakatwa? Au ndiyo wana compensate kwa bonus?
Maumivu yapo kwa wote mtu mwenye mshahara wa 2m analipa 600,000 kama Paye, duh bima 2% high education loan 15% nk nk huwezi kutoboa maisha.
 
Maumivu ya kodi ya pay as you earn (PAYE) ni makali mno. Ila sipati shida kwa sababu wote wanapendekeza hiko kiwango cha kodi na ku approve haiwahusu. 🤣🤣🤣Raha sana hii nchi.

Sasa wenzetu na mimi waliopo TRA nao wanakatwa? Au ndiyo wana compensate kwa bonus?
600k mbona noma mkuu
 
Ila nachojua mim watumishi huwa wanakwa kwenye bima, pia ya mfuko wa sekta alipo e.g walimu wanakatwa mpaka pesa za tishert mpya wanazovaaga siku ya wafanyakaz. Sema TRA sijajua au ndo wanabonus.
 
Back
Top Bottom