Maumivu yapo kwa wote mtu mwenye mshahara wa 2m analipa 600,000 kama Paye, duh bima 2% high education loan 15% nk nk huwezi kutoboa maisha.Maumivu ya kodi ya pay as you earn (PAYE) ni makali mno. Ila sipati shida kwa sababu wote wanapendekeza hiko kiwango cha kodi na ku approve haiwahusu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Raha sana hii nchi.
Sasa wenzetu na mimi waliopo TRA nao wanakatwa? Au ndiyo wana compensate kwa bonus?
Nani kakudanganya?Wanakatwa mkuu, tena kubwa balaa kuliko taasisi nyingi unazozijua wewe.
Kwanza watumishi wa serikali hawalipi kodi😂Nani kakudanganya?
Wanaolipishwa kodi kuliko wote ni sector Binafsi!
hivi hichi ulichoandika una uhakika na uthibitisho kuwa watumishi wa serikali (umma) hawalipi kodi?Kwanza watumishi wa serikali hawalipi kodi😂
Laki 6 tu halooMaumivu yapo kwa wote mtu mwenye mshahara wa 2m analipa 600,000 kama Paye, duh bima 2% high education loan 15% nk nk huwezi kutoboa maisha.
600k mbona noma mkuuMaumivu ya kodi ya pay as you earn (PAYE) ni makali mno. Ila sipati shida kwa sababu wote wanapendekeza hiko kiwango cha kodi na ku approve haiwahusu. 🤣🤣🤣Raha sana hii nchi.
Sasa wenzetu na mimi waliopo TRA nao wanakatwa? Au ndiyo wana compensate kwa bonus?