MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Najua duniani kwa sababu fulani fulani za kimaadili huwa hawanunui bidhaa zilizotengenezwa kwa forced labour.
Nimepita Shinyanga nimekuta wana wanagonga tofali kama vibarua. Je, hela zinazopatikana hapo zinaenda wapi? Kwa hiyo jeshi la magereza limeona kukata magogo haitoshi wameona wahamie kwenye matofali.
Magereza iwe sehemu ya mafunzo lakini sio kugongesha watu tofali asubuhi mpaka jioni.
Nalaani sana.