MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Sio matofali tu hata kuzoa taka ....Najua duniani kwa sababu fulani fulani za kimaadili huwa hawanunui bidhaa zilizotengenezwa kwa forced labour.
Nimepita Shinyanga nimekuta wana wanagonga tofali kama vibarua. Je, hela zinazopatikana hapo zinaenda wapi? Kwa hiyo jeshi la magereza limeona kukata magogo haitoshi wameona wahamie kwenye matofali.
Magereza iwe sehemu ya mafunzo lakini sio kugongesha watu tofali asubuhi mpaka jioni.
Nalaani sana.
Ulitaka wale na kusaazaa bure kwa kodi za wananchi? Kama ni hivyo basi Tutegemee watu wanaoona huku pagumu waende jela kula chakula cha bureNajua duniani kwa sababu fulani fulani za kimaadili huwa hawanunui bidhaa zilizotengenezwa kwa forced labour.