Zanzibar 2020 Hivi wagombea Ubunge Zanzibar majina yao yanapitishwa huku bara au wana utaratibu wao Zanzibar?

Zanzibar 2020 Hivi wagombea Ubunge Zanzibar majina yao yanapitishwa huku bara au wana utaratibu wao Zanzibar?

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2019
Posts
762
Reaction score
6,984
Vyama vya siasa vinatumia utaratibu gani kupata wagombea Zamzibar? Je, Ni kupitia kamati kuu za vyama au mabaraza au wana utaratibu wao huko Zanzibar?

Je, utaratibu wa wagombea wa Baraza la Wawakilishi na ugombea wa Ubunge wa Muungano upo sawa?

Kama yanatoka huku bara, uwakilishi katika kuyatolea maamuzi upo vipi? Ni fifty fifty au huku bara tunakura ya veto?
 
Kama yanatoka huku bara, uwakilishi katika kuyatolea maamuzi upo vipi? Ni fifty fifty au huku bara tunakura ya veto?
Mna kura ya veto, mnaweza hata kumfukuza kazi raisi, mwakilishi, mbunge halali wa Zanzibar kama ilivyofanyika kwa Alhaj Jumbe. Si unakumbuka bro katika historia ?
 
Back
Top Bottom