hivi wajua NYANYA na VIAZI ni SUMU?(chips)


kwa kuwa simba hawali majani kwa sababu ya kuwepo sumu hizo nao huzigundua kwa harufu,
mtu hula sumu hizo na kuwepo mwilini mwake,
simba hula mtu bila wasiwasi ambaye amekula sumu hizo na pengine bado zinaishi ndani yake,
je kwa nini simba akimla mtu ama wanyama walao majani hafi? au hadhuriki au sumu hizi zikishaliwa huwa si sumu tena?
nisaidieni
 
Mie ngoja nichukue mtumbwi wangu niende kuvua samaki , maana naona mnanichanganya tu.
Nitarudi baadae.
 

Umenena kweli mkuu..ni kwa kiwango gani, ndio issue!
 
Hee! Siku zangu za kuishi sasa zinahesabika.

Kha! halafu juisi ya mchanganyiko wa nyanya, ndimu, bilinganya, seleli, persil, karoti, beetroot, vitunguu shaumu na kitunguu maji huondoa sumu mwilini, husaidia kibofu cha mkojo (UTI) na kuongeza uoni wa macho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…