Hivi Wakenya mbona wana machungu sana mioyoni mwao, nini kinachemka ndani ya Kenya?

Hivi Wakenya mbona wana machungu sana mioyoni mwao, nini kinachemka ndani ya Kenya?

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617


Huyu jamaa ukimuangalia usoni, anaonyesha wazi kwamba amejawa na hasira sana kiasi cha kumtusi rais hadharani, pia inaonekana ni mtu katili sana yupo tayari kufanya lolote atakaloamrishwa na Rutto.

Chuki dhidi ya Raila na wajaluo inazidi kukomaa.

Mungu saidia Kenya.
 
Lkn kumtumia Ruto kama ile karatasi laini ya msalani au maliwato si haki. Hilo halikubaliki.
 
Back
Top Bottom