Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah! Hatari hii!!Nimeona hii picha mahali ambayo inasema Watanzania wanatumia asilimia 1% ya akili zao na ndio maana wao ni maskini sana, nikajiuliza na sisi vipi. Kuna utafiti kama huu umefanyika Kenya?
![]()
Hii habari ingenoga kama ingekuwa imeandikwa na mtu aliyefanya utafiti wa kisayansi!Nimeona hii picha mahali ambayo inasema Watanzania wanatumia asilimia 1% ya akili zao na ndio maana wao ni maskini sana, nikajiuliza na sisi vipi. Kuna utafiti kama huu umefanyika Kenya?
![]()
sasa kama mwandishi naye anatumia 1% ya akili yake unategemea utafiti wake utakua wa kweli 100% ?Kaka gazeti la Tanzania, mwandishi Mtanzania, Mtafiti Mtanzania... sasa Kenya wapi na wapi.
Nimeona hii picha mahali ambayo inasema Watanzania wanatumia asilimia 1% ya akili zao na ndio maana wao ni maskini sana, nikajiuliza na sisi vipi. Kuna utafiti kama huu umefanyika Kenya?
![]()
Labda utafiti ulifanya kwa vyama vinavyo ongoza nchi basi itakuwa kweli mana CCM akuna anaye fikiri kwa zaidi ya asilimia1Nimeona hii picha mahali ambayo inasema Watanzania wanatumia asilimia 1% ya akili zao na ndio maana wao ni maskini sana, nikajiuliza na sisi vipi. Kuna utafiti kama huu umefanyika Kenya?
![]()
sasa kama mwandishi naye anatumia 1% ya akili yake unategemea utafiti wake utakua wa kweli 100% ?
kali hii! Afu ni pamoja na..au mbali na..robo kuwa vichaa?Kaka gazeti la Tanzania, mwandishi Mtanzania, Mtafiti Mtanzania... sasa Kenya wapi na wapi.