Hivi Wakenya tunatumia asilimia ngapi ya akili zetu

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Nimeona hii picha mahali ambayo inasema Watanzania wanatumia asilimia 1% ya akili zao na ndio maana wao ni maskini sana, nikajiuliza na sisi vipi. Kuna utafiti kama huu umefanyika Kenya?

We mkenya una wivu sana na tanzania.ingekuwa kuna chance mbili za kuzaliwa ungeomba uzaliwe tanzania.by the way usiamin kila kinachoandikwa magazetini,
 
Nimeona hii picha mahali ambayo inasema Watanzania wanatumia asilimia 1% ya akili zao na ndio maana wao ni maskini sana, nikajiuliza na sisi vipi. Kuna utafiti kama huu umefanyika Kenya?

Daaah! Hatari hii!!
 
Huyo ni mpuuzi tena wa kumpuuza tu maana aliongea bila hata utafiti wowote tu kufanyika hana utofauti na wale wabishanaji wa mpira uku mitaan kila mtu anaongea anachojiskia na kukiamin yeye
 
Last time nimecheki takwimu zenu ilikuwa 0.75 guyz jitahidini
 
Nimeona hii picha mahali ambayo inasema Watanzania wanatumia asilimia 1% ya akili zao na ndio maana wao ni maskini sana, nikajiuliza na sisi vipi. Kuna utafiti kama huu umefanyika Kenya?

Hii habari ingenoga kama ingekuwa imeandikwa na mtu aliyefanya utafiti wa kisayansi!

Sio kuchapisha habari ambayo imeelezwa na mtu ambaye yuko kwa ajili ya kufanya promotion ya mradi wake wa kilimo halafu ndo akupe data za kubishania!
 
hahahaha! asilimia 1 dah!! ama kweli maajabu haya! nitawaelewa kina Motochini na Geza Ulole sasa...sitawalaumu tena....akili zao kumbe asilimia 1 tu...😀😀😀
 
duh huyo ni mkenya au mtz aliyeandika upuuuz kama huo na amefanya investigation kiasi gani mpaka kutumia public kusoma ujinga wake....
 
Tanzania kuna watafiti wa ovyo kabisa.
1 Kila Watanzania 4 mmoja wao kichaa.

2 Asilimia 49% ya wanaume wanalea watoto sio wao.

Haya yote yamekuja baada ya kupata kiongozi mwenye mambo ya ajabu.

Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Nimeona hii picha mahali ambayo inasema Watanzania wanatumia asilimia 1% ya akili zao na ndio maana wao ni maskini sana, nikajiuliza na sisi vipi. Kuna utafiti kama huu umefanyika Kenya?

Nimeona hii picha mahali ambayo inasema Watanzania wanatumia asilimia 1% ya akili zao na ndio maana wao ni maskini sana, nikajiuliza na sisi vipi. Kuna utafiti kama huu umefanyika Kenya?

Labda utafiti ulifanya kwa vyama vinavyo ongoza nchi basi itakuwa kweli mana CCM akuna anaye fikiri kwa zaidi ya asilimia1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…