Hivi Wakenya wanajitambua kweli? Kulikua na ulazima gani kwa hili zoezi kufanyika katika kipindi hiki cha Corona?

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617

Mara kwa Mara tumesema kwamba Kenya haijui ni kitu gani wanachokitaka katika mapambano dhidi ya maambukizi ya Corona, badala yake viongozi wao wanaiga kila kitu bila kutumia akili.

Hivi kuna faida gani ya kuzuia watu kwenda na kutoka katika majimbo yenye maambukizi mengi ya Corona, na kuzuia watu kutotoka nje wakati wa usiku lakini wakati wa mchana upuuzi usiokuwa wa lazima kama huu wa kuvunjiana nyumba unaendelea kama kawaida? Hivi walishindwa kuahirisha hili zoezi hadi baada ya hili tatizo kuisha? Failed state.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ukanda unapitia changamoto za kipekee. [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ila Kenya ni zaidi, nchi haijulikani inakokwenda wala inakotoka, "Curfew", partial lockdown", half mass testing', hakuna anayejua kama wapo kwenye " lockdown" kama Uganda, au wapo "free" bila lockdown kama Tanzania, wapowapo tu kama wamechanganyikiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara kwa Mara tumesema kwamba Kenya haijui ni kitu gani wanachokitaka katika mapambano dhidi ya maambukizi ya Corona, badala yake viongozi wao wanaiga kila kitu bila kutumia akili.

Hivi kuna faida gani ya kuzuia watu kwenda na kutoka katika majimbo yenye maambukizi mengi ya Corona, na kuzuia watu kutotoka nje wakati wa usiku lakini wakati wa mchana upuuzi usiokuwa wa lazima kama huu wa kuvunjiana nyumba unaendelea kama kawaida?, hivi walishindwa kuahirisha hili zoezi hadi baada ya hili tatizo kuisha?. Failed state.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakenya wanafurahia ksh3000 na unga kweli Kenya dhiki kubwa

Send by APOLO 1
 
Kenya kuna umaskini ambao hata wakipewa miaka 100 hawawezi tibia.Misingi Yao ya kiuchumi sio rafiki Kwa mtu mweusi.Uzungu unawatesa ....wanaiga style ya maisha ya wazungu huku Africa hayuko compatible.Raia wengi Kenya hawana access to Land, hii inapelekea many of them kuwa slaves to their fellow citizens, ndo maana unaona slams zao ni too extreme....hakuna sewerage system....yaani ni shida tupu.Kibera kunatisha jamani, Selikari ya Kenya acheni kujifanya wazungu wakati watu wanateseka na mafuriko, hawana hata pakujenga nyumba ZAO...not rented house...ZA KWAO WENYEWE.Land policy ya Kenya haimsaidii MTU masikini kumiliki ardhi.. Poor people can never own a pc of Land.Too much English will never help your People.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara kwa Mara tumesema kwamba Kenya haijui ni kitu gani wanachokitaka katika mapambano dhidi ya maambukizi ya Corona, badala yake viongozi wao wanaiga kila kitu bila kutumia akili.

Hivi kuna faida gani ya kuzuia watu kwenda na kutoka katika majimbo yenye maambukizi mengi ya Corona, na kuzuia watu kutotoka nje wakati wa usiku lakini wakati wa mchana upuuzi usiokuwa wa lazima kama huu wa kuvunjiana nyumba unaendelea kama kawaida?, hivi walishindwa kuahirisha hili zoezi hadi baada ya hili tatizo kuisha?. Failed state.

Sent using Jamii Forums mobile app

Jali ya nchi yako tu, mbona kuna mengi yana upungufu kwetu TZ, kama kuzuia mikusanyiko yote isipokuwa ya kanisani na misikitini, viongozi wa dini walipo amua kusimamisha misa zote Rais akawakalipia. Hey mind your own pants with shi before you laugh at others pants.
 
Mara kwa Mara tumesema kwamba Kenya haijui ni kitu gani wanachokitaka katika mapambano dhidi ya maambukizi ya Corona, badala yake viongozi wao wanaiga kila kitu bila kutumia akili.

Hivi kuna faida gani ya kuzuia watu kwenda na kutoka katika majimbo yenye maambukizi mengi ya Corona, na kuzuia watu kutotoka nje wakati wa usiku lakini wakati wa mchana upuuzi usiokuwa wa lazima kama huu wa kuvunjiana nyumba unaendelea kama kawaida?, hivi walishindwa kuahirisha hili zoezi hadi baada ya hili tatizo kuisha?. Failed state.

Sent using Jamii Forums mobile app

What happened to the 1,000 pages constitution?
 
Back
Top Bottom