joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Ila Kenya ni zaidi, nchi haijulikani inakokwenda wala inakotoka, "Curfew", partial lockdown", half mass testing', hakuna anayejua kama wapo kwenye " lockdown" kama Uganda, au wapo "free" bila lockdown kama Tanzania, wapowapo tu kama wamechanganyikiwa.Huu ukanda unapitia changamoto za kipekee. [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Wakenya wanafurahia ksh3000 na unga kweli Kenya dhiki kubwa
Mara kwa Mara tumesema kwamba Kenya haijui ni kitu gani wanachokitaka katika mapambano dhidi ya maambukizi ya Corona, badala yake viongozi wao wanaiga kila kitu bila kutumia akili.
Hivi kuna faida gani ya kuzuia watu kwenda na kutoka katika majimbo yenye maambukizi mengi ya Corona, na kuzuia watu kutotoka nje wakati wa usiku lakini wakati wa mchana upuuzi usiokuwa wa lazima kama huu wa kuvunjiana nyumba unaendelea kama kawaida?, hivi walishindwa kuahirisha hili zoezi hadi baada ya hili tatizo kuisha?. Failed state.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unadhani elfu tatu ya Kenya ni sawia na hiyo pesa yenu hafifu ya madafu?Wakenya wanafurahia ksh3000 na unga kweli Kenya dhiki kubwa
Send by APOLO 1
Jali ya nchi yako tu, mbona kuna mengi yana upungufu kwetu TZ, kama kuzuia mikusanyiko yote isipokuwa ya kanisani na misikitini, viongozi wa dini walipo amua kusimamisha misa zote Rais akawakalipia. Hey mind your own pants with shi before you laugh at others pants.
Mara kwa Mara tumesema kwamba Kenya haijui ni kitu gani wanachokitaka katika mapambano dhidi ya maambukizi ya Corona, badala yake viongozi wao wanaiga kila kitu bila kutumia akili.
Hivi kuna faida gani ya kuzuia watu kwenda na kutoka katika majimbo yenye maambukizi mengi ya Corona, na kuzuia watu kutotoka nje wakati wa usiku lakini wakati wa mchana upuuzi usiokuwa wa lazima kama huu wa kuvunjiana nyumba unaendelea kama kawaida?, hivi walishindwa kuahirisha hili zoezi hadi baada ya hili tatizo kuisha?. Failed state.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mada kuu ni umasikini na hali ngumu ya raia wengi wa Kenya, hili ni tatizo sana kwa wakenya, na Corona, flood & locust, sijui mtatokea wapi?Unadhani elfu tatu ya Kenya ni sawia na hiyo pesa yenu hafifu ya madafu?
What happened to the 1,000 pages constitution?