From the inner most part of my heart sipendi hilo neno hata kidogo!limeoriginate kwenye kingereza(dame) lakini waswahili wanavyolitumia khaa!unakuta mtu anamuita mpenzi wake demu..for heaven sake i hate it!
Na maana ya kiswahili? I mean waswahili tunavyosema demu tunamaanisha nini?
Halafu we demu wewe!!!!
Na maana ya kiswahili? I mean waswahili tunavyosema demu tunamaanisha nini?
Niambie sweetie.
Duh, kama ni hivyo no woman would like to be called that way! Eiyer nitake radhi la sivyo huli leo!
na wanaume tunavyoitwa BUZI,ATM,NGURUWE LANGU?