chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Katika makabila ambayo yanataka mwanaume awe na msimamo basi ni wakurya, wakurya wanataka hata mwanamke awe na msimamo imara.
Sasa wakurya wanaenda kukutana na kijana ambaye ameyumba kimsimamo kuliko maelezo
Aligombea jimbo la Tarime kupitia CCM akashindwa katika kura za maoni, akahama kaenda Chadema, kagombea ukonga, kashinda, kasaliti wapigakura, kaenda CCM, wakampa agombee Ukonga kinamna,akashinda, kasaliti ukonga, (inasemekana kashindwa kuleta maendeleo ukonga, hivyo amekimbia adhabu ya wapiga kura kwa kushindwa kuleta maendeleo na kuwasaliti)
Sasa amesaliti Ukonga anaenda Tarime
Hivi wana Tarime huyu ndiye mnataka kumkabidhi mji wenu? ametangatanga kila kona na kila mahali,na anaondoka kwa usaliti.
Wakurya ni watu wa misimamo imara, mtampa kura huyu aliyetangatanga na kusaliti kila alikotoka?
Huu ni mtihani kwa wakurya, watuthibitishie kwamba bado ni wakurya au wanaigeuza Tarime kuwa sehemu ya vijana wasio na msimamo
Huyu ndugu ni Waziri, lakini jimbo lake limemshinda kulipa maendeleo,Tarime ataweza?