hivi wakuu mimba inaweza kufika miezi kumi

Ndio. Kabla ya kupalamia mabinti za watu na kuwabebesha Mimba mjifunze kwanza kuhusu uzazi na malezi
 
Wengi hujifungua baada ya wiki 40 inamaana ni miezi 10 hivyo jibu ni ndio nandivyo inavyotakiwa.
 
Mimba hukaa wiki 40 +/-2. Inaweza kukaa muda mfupi au mrefu zaidi ya hapo. Ikizidi wiki hizo, ni muhimu mtoto azaliwe. Hata hivyo ni muhimu kujua umri sahihi. Umri kwa kutumia siku za hedhi huwa na makosa mara nyingi ndio maana inashauriwa ultrasound wakati mimba ina miezi mitatu.
 

mkuu kuna wanaofika miezi kumi na wiki moja
 
Me wife alipewa cku za makadiri tar10-06 ila mpaka leo bdo hajapga mzgo chin cjui kwa nin
 
Me wife alipewa cku za makadiri tar10-06 ila mpaka leo bdo hajapga mzgo chin cjui kwa nin

Ongeza wiki mbili hapo. Wataalamu wanasema yaweza kuwa wiki mbili kabla au baada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…