Hivi wale wa birthday ya Februari 29 si wanasherehekea?

Hivi wale wa birthday ya Februari 29 si wanasherehekea?

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Mungu fundi sana I salute you ma God. Yaani ukianua mtu awe na bday Mwaka huu anapata aliamua mwakan hupati hupati.

Naulizia tu jamani Feb imeisha Jana vipi wale ndugu zetu wa Feb 29 waliozaliwa wanasherehekea leo kimkakati ama wamepotezea.

Maana na jamaa Yangu kanikaribisha Leo kwenye bday nkashangaa keki umesoma tar 29 feb. Nikarudi kwenye simu kuangalia nimekosea ama Leo tar 1 March.

Nkaishia kunywa kilichonleta nkaondoka...poleni sana wana February yote mnayopitia ni mapito yataisha tu.
 
Back
Top Bottom