Hivi wale wa mwakaleli mpo?

jaman watoto wa mwantimwa mpo humu ndani,embu tukumbushane huku hapa na pale kule
hivi tupo hapa kufahamiana?.....hi ndo HOME OF GREAT THINKERS? kama unataka mfahamiane na watu wako peleka hii topic FACEBOOK kuna magroup kibao kule na la mwakaleli lipo muende mkafahamiane....
 
Mm frm paradise A" Nilikuwa nalala ktanda cha mwisho juu! Ila kijana wa mwl sanga unatutia haibu hili jukwaa la GT Ila unaleta post za ajabu hivi sijui nani wewe? Mwax 4 life
 
................network error..................
NB: Tengeneza jukwaa lako la kufahamiana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…