Dish
JF-Expert Member
- Jun 3, 2019
- 624
- 922
Km mnakumbuka wakati tetesi za Feitoto kuondoka Yanga zinaibuka hakikupita kipindi kirefu baadhi ya wachambuzi wengi waliripoti feisal to Azam deal done [emoji736]
lkn mpk sasa bado hajatambulishwa Azam ndio kusema tusubiri dirisha kubwa la usajili? ama ndo ule msemo wa wachambuzi wengi wa bongo ni makanjanja wachumia tumbo.