Huyu si mwingine bali ni Jemedari Said Kazumari mbwiga wa mbwiga.Ni kweli Mtoto wa Tajiri Yusufu Bakresa ndio yupo nyuma ya hili mpaka Sasa bado anashughulika na hili. Yeye ndie anaye mharibia Feisal Kwa kumwaminisha ata shinda katika mgogoro huu na anasajiliwa na Azam.
Mkataba Alisha Saini na malipo ya awali yalisha fanyika, na fedha za kuwarudishia Yanga alizitoa yeye, Dubai kwenye Kambi ya mazoezi alimpeleka yeye.
Maneno ya mama yake Feisal ya ugali na sukari aliyaratibu yeye Ili kutoa shinikizo Kwa Tff wabadili mwelekeo.
Inaonekana mpango wao ulikua Tff ita amua Feisal amevunja mkataba apigwe faini na kufungiwa miezi 4.Baadae walipe Faini na asajiliwe Azam.
Bahati Mbaya Tff safari hii wameamua kulinda mpira wa nchi. Maana kama wangefanya hivyo kama plani ya Kambi ya Feisal ilivyo panga, Wangefungua njia mpya ya wachezaji Kuvunja Mikataba bila kuhusisha klabu.
Yaani klabu zisinge kuwa na uhakika na umiliki wachezaji wao na Mikataba Yao na wachezaji isingekua na maana.
Acha kutete upuuzi feisal sio wa kulipwa million 4 kwa mwezi hadi kufika hapo amevumilia sana.Ni kweli Mtoto wa Tajiri Yusufu Bakresa ndio yupo nyuma ya hili mpaka Sasa bado anashughulika na hili. Yeye ndie anaye mharibia Feisal Kwa kumwaminisha ata shinda katika mgogoro huu na anasajiliwa na Azam.
Mkataba Alisha Saini na malipo ya awali yalisha fanyika, na fedha za kuwarudishia Yanga alizitoa yeye, Dubai kwenye Kambi ya mazoezi alimpeleka yeye.
Maneno ya mama yake Feisal ya ugali na sukari aliyaratibu yeye Ili kutoa shinikizo Kwa Tff wabadili mwelekeo.
Inaonekana mpango wao ulikua Tff ita amua Feisal amevunja mkataba apigwe faini na kufungiwa miezi 4.Baadae walipe Faini na asajiliwe Azam.
Bahati Mbaya Tff safari hii wameamua kulinda mpira wa nchi. Maana kama wangefanya hivyo kama plani ya Kambi ya Feisal ilivyo panga, Wangefungua njia mpya ya wachezaji Kuvunja Mikataba bila kuhusisha klabu.
Yaani klabu zisinge kuwa na uhakika na umiliki wachezaji wao na Mikataba Yao na wachezaji isingekua na maana.
Wewe unalipwa bei gani kaxini kwako? Mbona unapiga miayo kila siku hapo na umeshindwa kuhama kwenda kwenye mshahara mkubwa, Wewe mbona umevumilia kulipwa iyo laki 3? Acha ujinga!Acha kutete upuuzi feisal sio wa kulipwa million 4 kwa mwezi hadi kufika hapo amevumilia sana.
MBUMBUMBU WAPUMBAVU SANAAcha kutete upuuzi feisal sio wa kulipwa million 4 kwa mwezi hadi kufika hapo amevumilia sana.
Huenda mkataba alisaini akiwa kalewa.Acha kutete upuuzi feisal sio wa kulipwa million 4 kwa mwezi hadi kufika hapo amevumilia sana.
Kweli ni yeyeHuyu si mwingine bali ni Jemedari Said Kazumari mbwiga wa mbwiga.
Ona hili jinga jingine mpira ni tofauti na kazi nyingine zote duniani ni kazi ya mda mfupi ambayo inaendana na umri mchezaji miaka 30 watu wanamuita mzee wakati umri huo mtu ndio anaajiriwa na anaanza safari ya kutafuta miaka 60 ya kustaafu hilo hujafikiria kichwani umejaza kamasi tu akili umeacha nyumbani kenge wa kijani kutoka jangwani bado wenye akili ni wawili tu.Wewe unalipwa bei gani kaxini kwako? Mbona unapiga miayo kila siku hapo na umeshindwa kuhama kwenda kwenye mshahara mkubwa, Wewe mbona umevumilia kulipwa iyo laki 3? Acha ujinga!
Kama feisal kweli anataka kuondoka yanga kwasababu ya hela basi angeondoka kipindi kile yanga omba omba ila utopolo hawaelewi hilo wao wanawaza hela tu kipindi kile simba wanamuwinda ila alibaki yanga sasa hivi wanamuona mjinga.Huenda mkataba alisaini akiwa kalewa.
Ni bora kujaza kamasi kuliko kujaza mavi kichwani uliyojaza wewe, unadhani Taasisi ni sawa na choo unaingia na kutoka kiholela, Mapunguani mmejazana sana uko ukoloni mnapuyanga tu kama mijusi iliyobanwa na mlango, Basi mchukueni nyie mkamlipe hizo haki zake mnazodai apewe si yuko huru mnashindwa nini kumchukua? Ujuaji mwingi kumbe ni zero brain!Ona hili jinga jingine mpira ni tofauti na kazi nyingine zote duniani ni kazi ya mda mfupi ambayo inaendana na umri mchezaji miaka 30 watu wanamuita mzee wakati umri huo mtu ndio anaajiriwa na anaanza safari ya kutafuta miaka 60 ya kustaafu hilo hujafikiria kichwani umejaza kamasi tu akili umeacha nyumbani kenge wa kijani kutoka jangwani bado wenye akili ni wawili tu.
Nguvu hivi angewekeza kwa kuwapa motisha akina Dube na akina Kipre Azam wangekuwa mbali. Mwacha agombanie nafasi ya 4 na Singida.Ni kweli Mtoto wa Tajiri Yusufu Bakresa ndio yupo nyuma ya hili mpaka Sasa bado anashughulika na hili. Yeye ndie anaye mharibia Feisal Kwa kumwaminisha ata shinda katika mgogoro huu na anasajiliwa na Azam.
Mkataba Alisha Saini na malipo ya awali yalisha fanyika, na fedha za kuwarudishia Yanga alizitoa yeye, Dubai kwenye Kambi ya mazoezi alimpeleka yeye.
Maneno ya mama yake Feisal ya ugali na sukari aliyaratibu yeye Ili kutoa shinikizo Kwa Tff wabadili mwelekeo.
Inaonekana mpango wao ulikua Tff ita amua Feisal amevunja mkataba apigwe faini na kufungiwa miezi 4.Baadae walipe Faini na asajiliwe Azam.
Bahati Mbaya Tff safari hii wameamua kulinda mpira wa nchi. Maana kama wangefanya hivyo kama plani ya Kambi ya Feisal ilivyo panga, Wangefungua njia mpya ya wachezaji Kuvunja Mikataba bila kuhusisha klabu.
Yaani klabu zisinge kuwa na uhakika na umiliki wachezaji wao na Mikataba Yao na wachezaji isingekua na maana.
Basi haya maslahi yapiganiwe kwa wachezaji wote Tanzania na sio Feisal peke yake au hujui kua kuna watu wanalipwa laki 5-9 hapo mtibwa,Polisi Tanzania,Tanzania prison,kagera sugar .Ona hili jinga jingine mpira ni tofauti na kazi nyingine zote duniani ni kazi ya mda mfupi ambayo inaendana na umri mchezaji miaka 30 watu wanamuita mzee wakati umri huo mtu ndio anaajiriwa na anaanza safari ya kutafuta miaka 60 ya kustaafu hilo hujafikiria kichwani umejaza kamasi tu akili umeacha nyumbani kenge wa kijani kutoka jangwani bado wenye akili ni wawili tu.
Ongezea na Kibu D "kibu denga", Israel Mwenda, Nassoro Kapama, na Gadiel wanaolipwa 320,000 pale kwa Mfalme Zumaridi "MO"Basi haya maslahi yapiganiwe kwa wachezaji wote Tanzania na sio Feisal peke yake au hujui kua kuna watu wanalipwa laki 5-9 hapo mtibwa,Polisi Tanzania,Tanzania prison,kagera sugar .
Basi haya maslahi yapiganiwe kwa wachezaji wote Tanzania na sio Feisal peke yake au hujui kua kuna watu wanalipwa laki 5-9 hapo mtibwa,Polisi Tanzania,Tanzania prison,kagera sugar .
Pia wapo waliotuaminisha kuwa Fei yupo kambini kimbiji na atacheza game ya TP mazembe[emoji23][emoji23][emoji23]tuwaite wacumia mgongo