Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Ule usiku wa shughuli pale ukumbini huwa tunaona mwaliharusi mrembo hadi unajiulizaaswqli mengi
Huyu mlimbwende katoka wapi huyu?
Wajameni mbona binti mrembo hivi?
Huyu katoka uhabeshi?
Huyu matokea rwanda?
au kateremka na malaika kutoka huko mawinguni?
Yani maswali yanakuwa mengi kuliko majibu
Wakuu hivi wale waliharusi huwa wanaenda wapi wakuu? wanaishia wapi?
au wanarudi huko mawinguni walikotokea au?
au wanayeyuka tu ghafla na kupotea mazima?
Maana napata shida kuwaona huku kitaa.