Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
The power of the hands of the makeup artist π¨Maana napata shida kuwaona huku kitaa
uchawi wa yote ni maji...omba mvua iwanyeshee bi harusi..Hahahaaaaaa si mchezo.
Mtu kabandikwa makeup mpaka sura yake inapotea anakuwa na sura mpya. Hivo vigodoro sasa , shape kama lote yaani. Akitoa makeup na kigodoro unaanzaje kumjua?ππππ
Wewe ni fala na bahati nzuri mwenyewe hilo unalijua!!unaizungumzia Yanga iliyotaka kucheza na malaika klabu bingwa?
iko wapi Sasa Yanga ile jamani?
Gusa achia turudi ligi kuu tutafunwe na nyuki wa Tabora?
Ila urembo na sifa vikizidi haupigi hatua, si mmeiona Yanga?
umevurugwa kiongozi?unaizungumzia Yanga
hahhahaaaa....uchawi wa yote ni maji...omba mvua iwanyeshee bi harusi..
Na vigodoro pia?Hahahaaaaaa si mchezo.
Mtu kabandikwa makeup mpaka sura yake inapotea anakuwa na sura mpya. Hivo vigodoro sasa , shape kama lote yaani. Akitoa makeup na kigodoro unaanzaje kumjua?ππππ
Wewe hauoni kila bibi harusi anakuwa na shape?πππNa vigodoro pia?
Mi nadhani ni mshono tu wa lile gauni la kuchanua chiniWewe hauoni kila bibi harusi anakuwa na shape?πππ
Zamani tukiwa vijijini tunaangalia Bongo movie tulikuwa tunaamini wanawake wa Dar ni wazuri sana.
πππngoja wajeZamani tukiwa vijijini tunaangalia Bongo movie tulikuwa tunaamini wanawake wa Dar ni wazuri sana.
Kumbe Makeup za movieπ π π