realMamy JF-Expert Member Joined Apr 28, 2024 Posts 3,925 Reaction score 8,853 Jan 19, 2025 #21 Mbona ni kitu kidogo oa kwanza halafu utajua wanaishia wapi π π π π .
Hannah JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 9,679 Reaction score 39,087 Jan 19, 2025 #22 Bush Dokta said: Mi nadhani ni mshono tu wa lile gauni la kuchanua chini Click to expand... Au sioπππππ
Bush Dokta said: Mi nadhani ni mshono tu wa lile gauni la kuchanua chini Click to expand... Au sioπππππ
M Mamy K JF-Expert Member Joined Apr 30, 2017 Posts 3,154 Reaction score 11,082 Jan 19, 2025 #23 Hannah said: Au sioπππππ Click to expand... Umesahau na mkanda wa kubana tumbo hadi anapumua kwa shidaπ€£π€£
Hannah said: Au sioπππππ Click to expand... Umesahau na mkanda wa kubana tumbo hadi anapumua kwa shidaπ€£π€£
Hannah JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 9,679 Reaction score 39,087 Jan 19, 2025 #24 Braza Kede said: mkuu Hannah umeamua kutoa password za kambi. liwalo naliwe. hautaki unafikiππ Click to expand... Leo si ni jumapiliππibada ya leo yale mahubiri yamenigusa.
Braza Kede said: mkuu Hannah umeamua kutoa password za kambi. liwalo naliwe. hautaki unafikiππ Click to expand... Leo si ni jumapiliππibada ya leo yale mahubiri yamenigusa.
Hannah JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 9,679 Reaction score 39,087 Jan 19, 2025 #25 Mamy K said: Umesahau na mkanda wa kubana tumbo hadi anapumua kwa shidaπ€£π€£ Click to expand... Ni shidaa nakuambia ukitoka hapo ukiufungua unalala chini kwanza upate kupumzika.
Mamy K said: Umesahau na mkanda wa kubana tumbo hadi anapumua kwa shidaπ€£π€£ Click to expand... Ni shidaa nakuambia ukitoka hapo ukiufungua unalala chini kwanza upate kupumzika.