THE BEEKEEPER JF-Expert Member Joined Feb 23, 2024 Posts 1,462 Reaction score 7,157 May 31, 2024 #1 Utasikia wale wateja bagia, wale wateja bagia zimenona tatu shilingi mitano karibu, karibu wateja wangu. Wapo uko mikoani?
Utasikia wale wateja bagia, wale wateja bagia zimenona tatu shilingi mitano karibu, karibu wateja wangu. Wapo uko mikoani?
Kusena JF-Expert Member Joined Aug 25, 2020 Posts 278 Reaction score 169 May 31, 2024 #2 Mbeya hiyo, mwanjelwa,Soweto kabwe, nanenane,stand kuu, n.k zimenonaaa karibu, karibu sana mteja wanguu zimenoonaa, karibu 3 shilingi miatano, karibu zimenonaaa πππ
Mbeya hiyo, mwanjelwa,Soweto kabwe, nanenane,stand kuu, n.k zimenonaaa karibu, karibu sana mteja wanguu zimenoonaa, karibu 3 shilingi miatano, karibu zimenonaaa πππ
OCCID Dominik JF-Expert Member Joined Apr 29, 2024 Posts 218 Reaction score 395 May 31, 2024 #3 Utaweza wanyaki kwa ubunifu uchwara wewe,wale wapo mbeya tuu,saa hz nipo mizani hapa uyole nimeagiza zajero na mshkak wajero..mbeya kunofuuu belaa
Utaweza wanyaki kwa ubunifu uchwara wewe,wale wapo mbeya tuu,saa hz nipo mizani hapa uyole nimeagiza zajero na mshkak wajero..mbeya kunofuuu belaa
THE BEEKEEPER JF-Expert Member Joined Feb 23, 2024 Posts 1,462 Reaction score 7,157 May 31, 2024 Thread starter #4 Kusena said: Mbeya hiyo, mwanjelwa,Soweto kabwe, nanenane,stand kuu, n.k zimenonaaa karibu, karibu sana mteja wanguu zimenoonaa, karibu 3 shilingi miatano, karibu zimenonaaa πππ Click to expand... π Mbona umepatia sana unafanya day waka
Kusena said: Mbeya hiyo, mwanjelwa,Soweto kabwe, nanenane,stand kuu, n.k zimenonaaa karibu, karibu sana mteja wanguu zimenoonaa, karibu 3 shilingi miatano, karibu zimenonaaa πππ Click to expand... π Mbona umepatia sana unafanya day waka
Panctuality JF-Expert Member Joined Jun 11, 2019 Posts 775 Reaction score 1,150 Jun 1, 2024 #5 THE BEEKEEPER said: Utasikia wale wateja bagia, wale wateja bagia zimenona tatu shilingi mitano karibu, karibu wateja wangu. Wapo uko mikoani? Click to expand... Ahahaaa mfumo huu umezifikia wilaya zake,mwendo wa vitoroli sauti rekodiwa mpaka mtiririko wa maneno ni wenye mfanano,mikoa mitatu niliyotembelea Njombe,Iringa,na Dodoma sijakutana na hii kitu
THE BEEKEEPER said: Utasikia wale wateja bagia, wale wateja bagia zimenona tatu shilingi mitano karibu, karibu wateja wangu. Wapo uko mikoani? Click to expand... Ahahaaa mfumo huu umezifikia wilaya zake,mwendo wa vitoroli sauti rekodiwa mpaka mtiririko wa maneno ni wenye mfanano,mikoa mitatu niliyotembelea Njombe,Iringa,na Dodoma sijakutana na hii kitu
Kenan john JF-Expert Member Joined May 20, 2018 Posts 211 Reaction score 279 Jun 1, 2024 #6 Sea ule ubunifu wa vile vitololi[emoji119][emoji91][emoji91]..First time naona nikajua ni mtu mmoja kumbe wapo wengi
Sea ule ubunifu wa vile vitololi[emoji119][emoji91][emoji91]..First time naona nikajua ni mtu mmoja kumbe wapo wengi