Yudatade Edesi Shayo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 2,903
- 4,357
Je anaweza pambana na hatari,au kusudio lako afungue geti na kufungawazee waaminifu
mda mwengine usilalamike tunaweka hili mradi tu nyumba kuwa na watu wawepo kama housegirl ,houseboy,ndugu na huyo.ila watu wakiamua kukuiba hata uweke mbwa kama ngo'mbe watakuvamia tu,[emoji3591]Tafsiri ya neno mlinzi ,ni mtu shupavu anayeweza kulinda au kukabiliana na hatari yoyote ikitokea!je wale vibabu vilivyo choka ndio tafsiri sahihi ya walinzi?
[emoji3591]au tunatimiza tu dhana kuwa lazima tuwe na mtu wakufungua geti siyo mlinzi?