Friday Malafyale
JF-Expert Member
- Jan 18, 2017
- 1,811
- 2,916
Sijajua vigezo gani vinatumika huwa nafikiria sana nikapata dem kama huyu kwenye mambo yetu yaleeee nikazamisha dushe si naweza pata majeraha maana naweza kwaruzwa na mamifupa ya pervicJe kuna ulazima mabinti walimbwende mnaitaga ma Miss ni lazima wawe wembamba na wamedhoofu afya zao?? Maana namwona Miss Tz 2016 Diana Lukumay akiwa amedhoofu. Kwani sifa ya kuwa miss Tanzania lazima lazima ikondeane na mifupa itoke juu. Nawasilisha
Nilazima ufanane na kuendana na vigezo vilivyowekwa na wazungu ndio uweze kua mrembo Tanzania na AfricaJe kuna ulazima mabinti walimbwende mnaitaga ma Miss ni lazima wawe wembamba na wamedhoofu afya zao?? Maana namwona Miss Tz 2016 Diana Lukumay akiwa amedhoofu. Kwani sifa ya kuwa miss Tanzania lazima lazima ikondeane na mifupa itoke juu. Nawasilisha
ndg yangu Daud hatujawahi kukwazana mkuu nakuheshimu mara zote ndg. Tusifike huko ndgKwani wewe unataka kuwa mlimbwende?
Msemo wa sheikh kipoozeo huoItokee tuu
hatar sana hiyo kituAnorexia Nervosa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwani wewe unataka kuwa mlimbwende?