radika JF-Expert Member Joined Jul 15, 2014 Posts 20,440 Reaction score 32,260 Feb 1, 2017 #21 kila mahali kuna vigezo vyake ndo mana kuna miss bantu huko manyama uzembe yapo.
mkale JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 1,618 Reaction score 1,753 Feb 1, 2017 #22 wanawake wa kizungu ni wembmb kiasili na nd urembo wao uko hapo ,kwa mwafrica ye asili yake ni unne na nd uremb wake uko apo nae so akijikondesh lzm awe mbay tu!!
wanawake wa kizungu ni wembmb kiasili na nd urembo wao uko hapo ,kwa mwafrica ye asili yake ni unne na nd uremb wake uko apo nae so akijikondesh lzm awe mbay tu!!