Hivi Walimu ni mishahara ndio inawapa hasira?

Hivi Walimu ni mishahara ndio inawapa hasira?

Slim dady

Member
Joined
Apr 15, 2020
Posts
43
Reaction score
343
Kuna habari nimeona kwa wanafunzi wa form six wamefukuzwa shule siku chache kabla ya mitihani yao ya kuhitimu
Chanzo kabisa ni wanafunzi hao kukutwa na simu
Nimejiuliza inakuwaje mwalimu unahangaika kukagua wanafunzi amabaye hama hata zaidi ya mwezi kuendelea kuwepo hapo shuleni kama wana simu tena ni usiku ingekuwa hata ni muda wala hata sio muda wa kipindi na simu zenyewe walikuwa wanatumia kwa kunificha
Mngewaacha tu wamalizie mitihani yao
 
Inapaswa kuangalia sheria za shule zinasemaje kwanza kabla kulaumu. Pili swala la Waalimu kungalia muda uliobaki vijana kuhitimu ni la kiutashi zaidi.
 
Nenda kasome sheria za shule uone adhabu ya kutumia simu

Nadhani hujasoma boarding ndio maana, Laiti ungeona sehemu wanazochajia (local connections) usingesema,

In case ikija kutokea bweni limeungua na wanafunzi wamekufa ww ndio utakuwa was kwanza kuwalauni walimu walikuwa wazembe hawafuatilii

NB
Ualimu ni kama ukocha tu katika mafanikio watasifiwa wengine kikiharibika kitu lawama kwao
 
Wamekosea lakini walimu wamekosea sana
Walimu wamekosea nini ?!. Wakiwaacha wanaofuata wataenea simu hizo. Kikubwa mzazi wakati mwanao anaenda shule za msingi na secondary , habari ya simu aachane nazo.

Walimu wasilaumiwe, wamesimamia sheria . Tena utakuta mzazi hajui
 
Naomba heshimu uwalimu kama professional na shule kama taasisi yenye misingi yake.

Likitokea lolote anahusika mtaasusi wa taasisi sio wewe, tunaenda kwa misingi sio maono yako wewe.
 
Naomba heshimu uwalimu kama professional na shule kama taasisi yenye misingi yake.

Likitokea lolote anahusika mtaasusi wa taasisi sio wewe, tunaenda kwa misingi sio maono yako wewe.

Sawa nikosa! Waonyeni ili wamalizie, kuwafukuza hamuoni ndo mnawaua kabisa?
Kumbukeni hao ni watoto, nashauli shule zingebuni mbinu mbadala hata kuweka didector machine siku wanapo report shuleni.

Nyie waalimu huwa hamjiulizi kwamba kama simu inaingia gerezani sehemu yenye mabunduki na ulinzi mkubwa sembuse na shuleni?

Inamaana na askari magereza wawe wanafukuzwa pale wafungwa wanapokutwa na simu?
Kumbukeni hao niwatoto

Hizo zitakuwa nihasira za kunyimwa michango ya michele🤣🤣🤣☝

Wanazimalizia kwa watoto.
 
Mwalimu kafuata sheria. Hiyo simu inaweza kutumika na wengine na kuleta madhara
 
Sawa nikosa! Waonyeni ili wamalizie, kuwafukuza hamuoni ndo mnawaua kabisa?
Kumbukeni hao ni watoto, nashauli shule zingebuni mbinu mbadala hata kuweka didector machine siku wanapo report shuleni.

Nyie waalimu huwa hamjiulizi kwamba kama simu inaingia gerezani sehemu yenye mabunduki na ulinzi mkubwa sembuse na shuleni?

Inamaana na askari magereza wawe wanafukuzwa pale wafungwa wanapokutwa na simu?
Kumbukeni hao niwatoto

Hizo zitakuwa nihasira za kunyimwa michango ya michele[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji121]

Wanazimalizia kwa watoto.
WanafunZi MNA tabu

Sent from my itel it1508 using JamiiForums mobile app
 
Sawa nikosa! Waonyeni ili wamalizie, kuwafukuza hamuoni ndo mnawaua kabisa?
Kumbukeni hao ni watoto, nashauli shule zingebuni mbinu mbadala hata kuweka didector machine siku wanapo report shuleni.

Nyie waalimu huwa hamjiulizi kwamba kama simu inaingia gerezani sehemu yenye mabunduki na ulinzi mkubwa sembuse na shuleni?

Inamaana na askari magereza wawe wanafukuzwa pale wafungwa wanapokutwa na simu?
Kumbukeni hao niwatoto

Hizo zitakuwa nihasira za kunyimwa michango ya michele[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji121]

Wanazimalizia kwa watoto.
Naona mkuu una hasira sana na waalimu.
Sheria ikiwa inabana upande wako inaumiza sana.
Acha sheria zifuate mkondo wake ili iwe fundisho kwa wengine.
 
Hao wanafunzi wa kidato cha sita nahisi watakuwa above 18. Kwa maana hiyo hao sio watoto.

Kama kipindi cha mtihani wa Taifa unalazimisha kutumia simu kinyume cha sheria huku ukiwa unajua,. (na hapa itakuwa ni chatting za ki-boyfriend na ki-girlfriend) Maana yake ni kwamba hata matokeo ya mtihani wako hayatakuwa mazuri. Walimu wanaposimamia sheria kama zilivyo , ni njia mojawapo ya kupunguza division zero shuleni.

Big up teachers! Kazi yenu ni njema.

JESUS IS LORD!
 
Hili taifa limecheleweshwa na mambo ya kipumbavu ya kuchekeana na kutosimamia sheria vzr, waalimu wanawaandaa watoto kuwa raia wazuri wanaotii sheria tunakuja hapa kuwalaumu na kuwabeza. binadamu hatueleweki!
 
Mimi sio mwalim lakini naomba nikuulize,Je!walipokutwa na simu unajua walijibu nini?
Sheria ya shule inasemaje?
Endapo wangeachwa wanafunzi wengine wangechukuliaje uongozi wa shule.?
Hivi unajua mwanafunzi wa darasa la mtihani kuwa na simu inaweza kupelekea shule kufutiwa mtihani wote endapo mawasiliano yake yatakuwa na viashiria vya kupewa mtihani kutoka nje ya shule?
Kwa hiyo mwanafunzi akiwa shuleni azingatie sheria zinasemaje haijalishi yupo darasa gani,hujawahi kusikia mtu ame discontinue chuo mwaka wa mwisho???
Muda wote waliokaa nyumbani hawakutosheka kutumia simu?
Wakwende zao huko na.masim yao.
 
kusema mwanafunzi asifukuzwe shule kwa kukutwa na simu kisa ni mtoto ni sawa na kusema mashoga waruhusiwe kisa wao pia ni binadamu.

sheria zimewekwa kuepusha mvurugano. popote ambapo hakuna sheria na principles hakuna heshima.

kwa kupitia huyo mwanafunzi alofukuzwa, sasa heshima itakuwepo shuleni.
 
Back
Top Bottom