Walimu wamekosea nini ?!. Wakiwaacha wanaofuata wataenea simu hizo. Kikubwa mzazi wakati mwanao anaenda shule za msingi na secondary , habari ya simu aachane nazo.Wamekosea lakini walimu wamekosea sana
Naomba heshimu uwalimu kama professional na shule kama taasisi yenye misingi yake.
Likitokea lolote anahusika mtaasusi wa taasisi sio wewe, tunaenda kwa misingi sio maono yako wewe.
WanafunZi MNA tabuSawa nikosa! Waonyeni ili wamalizie, kuwafukuza hamuoni ndo mnawaua kabisa?
Kumbukeni hao ni watoto, nashauli shule zingebuni mbinu mbadala hata kuweka didector machine siku wanapo report shuleni.
Nyie waalimu huwa hamjiulizi kwamba kama simu inaingia gerezani sehemu yenye mabunduki na ulinzi mkubwa sembuse na shuleni?
Inamaana na askari magereza wawe wanafukuzwa pale wafungwa wanapokutwa na simu?
Kumbukeni hao niwatoto
Hizo zitakuwa nihasira za kunyimwa michango ya michele[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji121]
Wanazimalizia kwa watoto.
Naona mkuu una hasira sana na waalimu.Sawa nikosa! Waonyeni ili wamalizie, kuwafukuza hamuoni ndo mnawaua kabisa?
Kumbukeni hao ni watoto, nashauli shule zingebuni mbinu mbadala hata kuweka didector machine siku wanapo report shuleni.
Nyie waalimu huwa hamjiulizi kwamba kama simu inaingia gerezani sehemu yenye mabunduki na ulinzi mkubwa sembuse na shuleni?
Inamaana na askari magereza wawe wanafukuzwa pale wafungwa wanapokutwa na simu?
Kumbukeni hao niwatoto
Hizo zitakuwa nihasira za kunyimwa michango ya michele[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji121]
Wanazimalizia kwa watoto.
Kosa la mwalimu lina adhabu..??! Kama ipo apewe.. kama halina adhabu basi hawajakosea...Wamekosea lakini walimu wamekosea sana