Komando tamimy
Senior Member
- Nov 18, 2020
- 108
- 121
Waalimu walioripoti tangu mwezi wa 12 tarehe 1. Hawajapatiwa stahiki zao. Mpaka sasa je kuna halmashauri wamepatiwa hela zao za kujikimu pamoja na mshahara wa mwezi huu? Na kama hawajalipa mshahara wa mwezi huu waalimu watau ingiza katka madai yao?
Tuchangie kiistaarabu najua wengi wana hasira na waalimu lakini ikumbukwe hawa hakuwa kwenye mfumo kwa hiyo tuendelee kuwaombea wapate stahihiki zao
Tuchangie kiistaarabu najua wengi wana hasira na waalimu lakini ikumbukwe hawa hakuwa kwenye mfumo kwa hiyo tuendelee kuwaombea wapate stahihiki zao