SOVIET UNION
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 509
- 1,391
Kwa uelewa wangu mdogo huwa najua kwamba watu wanao takiwa kupewa vibali ya kazi na uhamiaji ni wale Expert tena na wao ni kwa muda fulani, lakini nashindwa kuelewa pale napo kutana na walinzi wa getini kwamba nao ni Expert na wametolewa Asia huko. Wafanya kazi za ndani wapo walio letwa kutoka Asia pia.
Hawa uhamiaji nazani ndiko wanako tajirikia huko, make hiingii akilini kuleta walinzi kutoka Nepel waje kukaa getini.
How come uhamiaji wanatoa vibari vya kazi kwa kazi kama vile;
Kama haitoshi wanaleta pia wapishi, kinacho shangaza hao Walinzi si kwamba ni Expert bali ni walinzi wa kuja kukaa mlangoni na fimbo.
Je, tuna uhaba unskilled man power kiasi cha kuleta walinzi kutoka nje?
Ukijalibu kufuatilia unakuta ni pesa zilitembea na watu wakapewa permit za kuingia na kufanya hizo kazi.
Haya mambo huwezi sikia CCM hasa wale UVCCM wakiyakemea, wako bise kusifia na kuabudu tu. Miji kama Arusha imejaa foreigner ambao ukiangalia sio Expert bali ni wanakuja kufanya kazi ambazo zinapaswa au wazawa wana uwezo wa kuzifanya.

- Walinzi
- Wafanya usafi
- Wapishi