KILLERS KISS GUY JF-Expert Member Joined May 9, 2013 Posts 718 Reaction score 258 Jan 13, 2014 #1 wadau naomba kuuliza kuna mdogo wangu kamaliza darasa la saba alipata wasitani wa alama D lakini hakuchaguliwa kujiunga na kidato kwanza wakati nafasi zipo za kutosha? au kuna second selection
wadau naomba kuuliza kuna mdogo wangu kamaliza darasa la saba alipata wasitani wa alama D lakini hakuchaguliwa kujiunga na kidato kwanza wakati nafasi zipo za kutosha? au kuna second selection