Hivi wana Jamii forum kuna mtu anayemfahamu William Marrion Branham

Alikuwa Mhubiri Mashuhuri Sana Wa Marekani Miaka Ya 1900s,haamini Ktk Madhehebu Na Pia Anapinga Ubatizo Wa Maji,kwa Mujibu Wake Hawa Alizini Na Shetani(nyoka) Akazaliwa Kaini,alikufa Kwa Ajali Ya Gari Huko Inos USA,pia Anajiita Last Massanger Of Leodikia Church Kwa Mujibu Wa Unabii
 
Wafuasi wake wanabatizwa kwa maji. Wanawake hawaruhusiwi junyoa nywele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…