Hakukuwa na vurugu huku nilipo, ingekuwepo ningebaki ndani.Ulitoka au ulibaki ndani.
sehem ya kuzika mnazo sasa?Nimejiuliza sana hili kwa sababu mpaka muda huu naona kila mmoja wetu yupo active na cha kushangaza hatuna kifo hata kimoja.
Kiufupi hili jukwaa ndio jukwaa pekee ambalo halijakumbwa na msiba kama majukwaa mengine kuanzia tik tok mpaka facebook.
Hivi mlitoka au mlikuwa mmejificha majumbani au mlimbikilia vijijini! Mi binafsi nlitoka ila ni ile 29 na 30 hizo siku nyingine nlijificha baada ya kugundua kuna masnipers washenzi sana.
Niwapongeza members wote mlioandamana na hamkufikwa na maafa, mitandao mengine inapaswa kujifunza kwetu.
TUSISAHAU TAREHE 9/12/2025 TUNATOKA TENA AWAMU HII LAZIMA KIELEWEKE.
Father Mimi nilitoka na kilinuka kweli.Kuwepo hapa ni Mungu tu bado ananipenda maana hayasimulikiNimejiuliza sana hili kwa sababu mpaka muda huu naona kila mmoja wetu yupo active na cha kushangaza hatuna kifo hata kimoja.
Kiufupi hili jukwaa ndio jukwaa pekee ambalo halijakumbwa na msiba kama majukwaa mengine kuanzia tik tok mpaka facebook.
Hivi mlitoka au mlikuwa mmejificha majumbani au mlimbikilia vijijini! Mi binafsi nlitoka ila ni ile 29 na 30 hizo siku nyingine nlijificha baada ya kugundua kuna masnipers washenzi sana.
Niwapongeza members wote mlioandamana na hamkufikwa na maafa, mitandao mengine inapaswa kujifunza kwetu.
TUSISAHAU TAREHE 9/12/2025 TUNATOKA TENA AWAMU HII LAZIMA KIELEWEKE.
Namjua mwanaJF anayeuguza jeraha la risasi na amejeruhiwa akiwa nyumbani kwake ndani ya geti.Nimejiuliza sana hili kwa sababu mpaka muda huu naona kila mmoja wetu yupo active na cha kushangaza hatuna kifo hata kimoja.
Kiufupi hili jukwaa ndio jukwaa pekee ambalo halijakumbwa na msiba kama majukwaa mengine kuanzia tik tok mpaka facebook.
Hivi mlitoka au mlikuwa mmejificha majumbani au mlimbikilia vijijini! Mi binafsi nlitoka ila ni ile 29 na 30 hizo siku nyingine nlijificha baada ya kugundua kuna masnipers washenzi sana.
Niwapongeza members wote mlioandamana na hamkufikwa na maafa, mitandao mengine inapaswa kujifunza kwetu.
TUSISAHAU TAREHE 9/12/2025 TUNATOKA TENA AWAMU HII LAZIMA KIELEWEKE.
Watu wa “teeth” mmekuja kutafuta waandamanaji hadi huku ili muwape Treason sio?Nimejiuliza sana hili kwa sababu mpaka muda huu naona kila mmoja wetu yupo active na cha kushangaza hatuna kifo hata kimoja.
Kiufupi hili jukwaa ndio jukwaa pekee ambalo halijakumbwa na msiba kama majukwaa mengine kuanzia tik tok mpaka facebook.
Hivi mlitoka au mlikuwa mmejificha majumbani au mlimbikilia vijijini! Mi binafsi nlitoka ila ni ile 29 na 30 hizo siku nyingine nlijificha baada ya kugundua kuna masnipers washenzi sana.
Niwapongeza members wote mlioandamana na hamkufikwa na maafa, mitandao mengine inapaswa kujifunza kwetu.
TUSISAHAU TAREHE 9/12/2025 TUNATOKA TENA AWAMU HII LAZIMA KIELEWEKE.
Kumbe simu siyo mbovu ila ni wewe tu huwa unai-abuse 🤣Nilikaa ndani hadi nikagundua kumbe Iphone inaweza kukaa na chaji siku 4 🤣