Hivi wanafunz wa awamu ya tatu wanaenda lin jkt??????????

Hivi wanafunz wa awamu ya tatu wanaenda lin jkt??????????

myne

Member
Joined
May 17, 2013
Posts
80
Reaction score
5
Leo hii nimepokea taarifa kutoka kwa guys mbalimbali wanasema wanafunz wa awamu ya tatu wanapaswa waende jkt next wiki...asa nmekua sielew coz wanasema taarifa wamepata kutoka tbc fm....kama kuna mtu anaefaham kuhusu hili naomba anisaidie
 
jkt mpaka september officialy advertserment,waliobak ni zaid ya elf 20 je wataweza kuwachkua hawa?na bado budget haijagawanywa.
 
jkt mpaka september officialy advertserment,waliobak ni zaid ya elf 20 je wataweza kuwachkua hawa?na bado budget haijagawanywa.

kwahiyo chuo ni mpaka mwez january,dah serikal yetu hata siielew
 
tcu wamegoma vyuo kufunguliwa next yr kwa Freshers so huenda jkt intake ya tatu ikaanza next wk kuleeee Idodomya DODOMA na baadhi watasambazwa kwingineko anzeni kunyoa vipara ili visogo vizoeleke
 
tcu wamegoma vyuo kufunguliwa next yr kwa Freshers so huenda jkt intake ya tatu ikaanza next wk kuleeee Idodomya DODOMA na baadhi watasambazwa kwingineko anzeni kunyoa vipara ili visogo vizoeleke

Hii nimeisikia sikia mahali fulani hivi.Hebu tupe uhakika basi.
 
Jus bado hawajaelewana wao kwa wao! Coz kila mtu anatoa maamuzi yake bila kushirikishana! Xo ! Tcu wanalao n serikary wana lao! Bt serikary wanataka vyuo viopen january n awamu ya tatu iwe ni sept.! Bt tcu wamesema nop! System itabaky vlevle! Kazy ipo! Dow!
 
Bora hata vyuo vifunguliwe mwez october
 
JKT ni mpaka Septemba 23... Chuo ni mpaka januari... Hizi ni habari toka jikoni so relux
 
Nawaomben muwe watulivu. Nawahaidi kabla ya wiki ijayo nitawaletea ukweli jinsi ulivyo! Hii itawezekana iwapo uvumi huu utaendelea kusumbua! You calm down! Proceed with ua duties!
 
hiv mtu asipoenda huko jkt?adhabu yake ni nini!mana wa2 kbao hawajaenda both 1st en 2nd tme!
 
Chala wangu yani cju watu wanatutakia wat me mwenye wameniam,bia the same niaje kama mtu anajua tuambieni jamani plssss :crazy
 
msidanganye hakuna kambi ya jkt dodoma...kule kuna kambi ya tpdf(jwtz) tu
 
january! vipi kuhusu diploma na grad A waanza lini mafunzo? naomba mnifahamishe.
 
Back
Top Bottom