hivi wanalazimishwa?

cheusimangala

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2010
Posts
2,585
Reaction score
498


hivi kuna anayewalazimisha hawa waheshimiwa kufanya hizi shughuli?
maana mi najua wanapofanya hivi wanafanya kuonyesha mfano na kuhamasisha lkn ni nani anayefanya kazi za shambani na kimkeka ili asichafuke!
ukimtizama anavyohema .....na hilo pozi na hicho kimkeka aah tuachieni watoto wa wakulima hizi shughuli hamziwezi nyie msitutanie!
 
Anahalalisha POSHO na perdiem yake jioni, otherwise ni ushenzi uliozidi kukejeli wananchi!
 
hizo Comment zake cheusimangala nimecheeeeeeeeeeeeeeeka
naona wanajilazimisha kufanya hivyo ili waonekane
 
Usanii tu, mbona JKN alikuwa kikazi zaidi.
 
HAHAHAHA....natamani hyo suruali ingechanika kidogo
Then uone nini vkeisy2006? babaChupi au boxer? ila nasikia waheshimiwa hawavai nanihiii sababu ya miili na joto hi hi hi hi hi hi hi
 
Hapendwi mtu, zinapedwa Kura za wananchi.
Biashara promo.
 
wawe wanavaa nguo za fatiki kama tulivyokuwa tunaziita JKT
 
kama najua anaenda kupanda miti, kwa nn anavaa suti? kwani akivaa simple itakuwaje>
 


Na ndoo nyeusi ya maji pembeni si unaona imeshaletwa fasta fasta mheshimiwa akimaliza atuachie vumbi letu kabla halijampa allergi mikono yake?????
 
Huyo aliye shika beleshi anafanya nini?JK akiinuka gafla ajari....
 
Hakuna lolote zaidi ya kulazimishwa na ulaji. Ishu kama hiyo utakuta imepangiwa mamilioni kadhaa,what next ni kujichanganya piga danganya toto watu wanamalizia mahekalu yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…