Hivi ni taratibu gani hasa za kisheria zilizokiukwa mpaka kufutiwa leseni na sio hata faini kama adhabu ya faini ipo kwenye sheria?Nawafikiria walioweka nyumba zao wakachukua mikopo Benki wakafungua Maduka ya kubadilisha Fedha za kigeni
Nadhani wataangaliwa wasiumie!!
Kwaresma njema
Sent using Jamii Forums mobile app
mbona kubwa sanaKubadili fedha bank ni ujinga usion kichwa wala miguu, dolla$200 unajatwa karibia 45000 kwenye kubadili CRDB upuuz mtupu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ni taratibu gani hasa za kisheria zilizokiukwa mpaka kufutiwa leseni na sio hata faini kama adhabu ya faini ipo kwenye sheria?
Ndio, kwani kwa sasa nasikia kuwa wafuga kuku wote wenye kuku katika batches zote wanaofikia 1000+ wajiandikishe! Kwa nini? Bado hawafahamu!Baada ya Bureau de change kuvamiwa na kuporwa hela zao nawaza Hivi kuna siku watakuja huku kwetu tuliolima nyanya na matikiti watuvamie wanyang'anye matikiti yetu
Hii kali kwakweliNdio, kwani kwa sasa nasikia kuwa wafuga kuku wote wenye kuku katika batches zote wanaofikia 1000+ wajiandikishe! Kwa nini? Bado hawafahamu!
Serikali ya wanyonge ili kuendelea kutawala lazima itengeneze lundo la wanyonge.
Sent using Jamii Forums mobile app
mbona kubwa sana
Umenikumbusha story ya mzee wangu aliyonisimulia kuwa alilazimika kwenda kutupa Mercury yake ziwani aliyoinunua Congo baada ya kukosa namna ya kuificha mpaka keaho ameishia kujuta tu na kulaani.Kizazi Cha Kambarage kimerudi Mamlakani
Ambao hamkuwepo muone 'Nchi ya asali Na Maziwa' mliokuwa mnasimuliwa Kwenye vitabu vya ' TANU YAJENGA NCHI'
Baba Na Babu zetu ilifikia hatua wanaenda kutupa Fedha zao halali baharini wengine Kuzichoma Moto kwa Kuwa ukikutwa Na kiasi Fulani Cha Fedha Nyumbani kwako Ni Kama umekutwa Na Fuvu la Binadamu
Ukienda kuomba kubadili Fedha zako kupata Fedha Za Kigeni ilikuwa ngumu Kuliko kupata dhamana ya kesi ya Jinai
Wenye Biashara Za Maduka ya Kubadilishia Fedha wamfanyiwa ya Azimio la Arusha kuporwa mali zao mchana kweupe