Hivi wananchi weliowekeza kwenye Bureau de Change hatima iko he!!

Sasa kwa mwendo huu mkuu kuna haja ya kuendelea kuunga mkono juhudi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali ya wanyonge ili kuendelea kutawala lazima itengeneze lundo la wanyonge.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaap, unatengeneza mazingira ambayo hawatakuwa na surplus ya kushift kutoka kwenye mode moja kwenda nyingine na hii itakusaidia kutengeneza lundo la wanyonge (vicious cycle) hapa sasa utaendeleza utawala wako wa kutawala wanyonge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…