Hivi wanaooga kwenye swimming pools hawakojoi mule? Kiafya ipoje?

Azarel,
Ahsante Mkuu kwa highlight hii!
Umenipa chachu ya mimi pia nivisome nizidi kujifunza yaliyomo!
Nitakianza karibuni kukisoma!
 
[emoji3][emoji3][emoji3] mkuu wewe, au ni moja ya refreshment, mtu akifanya hivo anaenjoy mwenyewe dah.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenye kinyaa kama mimi hawezi kuogolea kwenye pool na hayo ma chemical wanayoyaweka kuna wengine zina react kwenye ngozi zao kama my baby mama anavimba na kuwa mwekundu kama kapigwa usoni lakini hakomi dadeki.
 
Wanakojoa
Wanajamba
Hata walio period wanaswim esp baharini
Watu wanasugua CD mule ( couples + beach boys
....ila siachi [emoji474]
Kusugua CD ndo kufanyaje
Mamdogo

kelphin kepph
 
Kuna jamaa mmoja niliwahi kumsikia kwenye njia panda, alisema wengine Hua wanaweka dawa fulani ambayo mtu akikojoa maji yanabadilika rangi pale tu mkojo wake unapokutana na maji na hivyo ni rahisi mhusika kuonekana.. Tatizo ubahuli au kutokujali kwa wamiliki wengi wa hizo swimming pool ndio maana watu wanaogelea na kila aina ya uchafu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…