Hilo ni neno linalotumiwa sana na wanasaikolojia kwa watu ambao wanahangaika kujua thamani yao kwenye haya maisha na wanastruggle kujua wata exist vipi.
Kujipenda mwenyewe ni aina ubinafsi sababu utafocus kwenye mahitaji yako wewe personally na utaacha wajali wengine automatically hii itakufanya uchukiwe zaidi na utazidi kuwa mpweke.
Binadamu sisi ni social animals ndio maana hatuwezi kaa mbali na wanadamu wenzetu au kuishi kwenye jamii bila mahusiano.
Kimsingi mtu akikwambia jipende ni swala la muda tu hadi utakapo realize kuwa hakuna kitu kama hicho. Unajipendaje sasa?
Kujinunulia chakula, kujinunulia mavazi, kujikumbatia, kujitomba mwenyewe? How is that even possible?
Kimsingi kupendwa ni jambo ambalo litakutokea kama utaruhusu interaction kati yako na watu wengine. Achana na hizi mbaga za love yourself first, utaishi kama digidigi maisha yote.
Ukiwa na mentality ya kusema kujipenda motivation yako itakuwa ni kupewa attention, kupewa vitu, kuexpect wengine wakufanyie jambo kwanza ndipo ureciprocate the efforts.
Utazeeka mwenyewe hakuna mtu anavutiwa na mtu mbinafsi.