Azoge Ze Blind Baga
JF-Expert Member
- Mar 8, 2019
- 442
- 1,655
[emoji817]Ukiwa na upendo na wengine ni kithibitishi cha kujipenda pia
Mi natolea mfano kwenye kupata hela... unapopata hela anza kujiangalia wewe kwanza halafu mengine yafuateMara nyingi naona watu wanasisitiza mtu aanze kujipenda mwenyewe kabla hajapenda wengine
Ni kwa namna ipi utasema au kuprove kwamba hapa najipenda mwenyewe yani ufanye vitu gani vinayothibitisha kujipenda wewe kama wewe na kujipa kipaumbele??
we itakuwa mgumu kuelewani ubinafsi tu hakuna kujipenda mwenyewe unajipendaje yana kivipi ujipende
Piga puchu yakuhonga kamwagilie moyoMara nyingi naona watu wanasisitiza mtu aanze kujipenda mwenyewe kabla hajapenda wengine
Ni kwa namna ipi utasema au kuprove kwamba hapa najipenda mwenyewe yani ufanye vitu gani vinayothibitisha kujipenda wewe kama wewe na kujipa kipaumbele??
Pengine mnalichukulia neno kujipenda literally kama lilivyo. Mimi nadhani kujipenda ni hatua muhimu sana kama unataka kuishi maisha mazuri. Kujipenda kwa kifupi ni kujithamini, kujiamini na kujikubali. Kama wewe ni mwanamke basi unatakiwa kujithamini i.e. kujiamini kama ulivyo, kutokukubali mwili wako kuchezewa na wanaume hovyo, kwa kifupi jitambue, jiamini na jithamini wewe kwanza. Ipende asili yako, lipende umbo lako, ipende culture yako. Hii pia na kwa mwanaume.Hilo ni neno linalotumiwa sana na wanasaikolojia kwa watu ambao wanahangaika kujua thamani yao kwenye haya maisha na wanastruggle kujua wata exist vipi.
Kujipenda mwenyewe ni aina ubinafsi sababu utafocus kwenye mahitaji yako wewe personally na utaacha wajali wengine automatically hii itakufanya uchukiwe zaidi na utazidi kuwa mpweke.
Binadamu sisi ni social animals ndio maana hatuwezi kaa mbali na wanadamu wenzetu au kuishi kwenye jamii bila mahusiano.
Kimsingi mtu akikwambia jipende ni swala la muda tu hadi utakapo realize kuwa hakuna kitu kama hicho. Unajipendaje sasa?
Kujinunulia chakula, kujinunulia mavazi, kujikumbatia, kujitomba mwenyewe? How is that even possible?
Kimsingi kupendwa ni jambo ambalo litakutokea kama utaruhusu interaction kati yako na watu wengine. Achana na hizi mbaga za love yourself first, utaishi kama digidigi maisha yote.
Ukiwa na mentality ya kusema kujipenda motivation yako itakuwa ni kupewa attention, kupewa vitu, kuexpect wengine wakufanyie jambo kwanza ndipo ureciprocate the efforts.
Utazeeka mwenyewe hakuna mtu anavutiwa na mtu mbinafsi.
Asante sana. Hata mimi nimewaambia hivyo hivyo. Wao naona wanachukulia hilo neno literally kama lilivyo, kuwa kijipenda ni kuwa mbinafsi na kudharau wengine.Kwanza lazima uanze kufanya yafwatayo ndipo ufikie level ya juu ya kujipenda
•Kujitambua
•Kujisamehe
•Kujifahamu
•Kujielewa
•Kujikubali
•Kujipenda
Nisiaidie kwa kukazia kwa KiswahiliFood, shelter and clothes
Jipe ww kipaumbele kwanza.Mara nyingi naona watu wanasisitiza mtu aanze kujipenda mwenyewe kabla hajapenda wengine
Ni kwa namna ipi utasema au kuprove kwamba hapa najipenda mwenyewe yani ufanye vitu gani vinayothibitisha kujipenda wewe kama wewe na kujipa kipaumbele??
Njia pekee ni kuwapandishia mademu vioo na kua busy na mambo yako ya faida watakufata wenyewe na wakija usihonge kuwa bahili na smart na mtu wa kupenda na kujali wengine siyo kimapenziMara nyingi naona watu wanasisitiza mtu aanze kujipenda mwenyewe kabla hajapenda wengine
Ni kwa namna ipi utasema au kuprove kwamba hapa najipenda mwenyewe yani ufanye vitu gani vinayothibitisha kujipenda wewe kama wewe na kujipa kipaumbele??