Hivi wanasiasa wanawake huwa wanashika mimba wakati gani?

Dakika ya 40..... Matola 1, ndyoko 1. Mechi bado inaendelea....
 

Oops..
 

Niliwahi kufikiri wanaouliza juu ya mazishi ya zeruzeru ni wapuuzi......fikra zangu zilibadilika baada ya kushuhudia mauaji na ukatili wanaofanyiwa zeruzeru hapa nchini kwa imani za ajabu....may be kweli wengi hawakuzikwa/waliuawa na jamii husika ikiamini wamepotea....
 
Wengi wa wanasiasa wa Tz wanaingia kwenye siasa wakiwa na miaka 35-40 so wengi unakuta wameishastop kazaa. kasoro hawa wabunge vijana wa chadema ndio bado wengi wako single.
 
Unataka uwaone mbele ya hadhara na mimba ndo ujue wanazaa?
 
Eheee.......! Washa moto kuzima moto!
 
Mimba wanapata lakini ni planned mimba na wakiwa na mimba wanajua kujistiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…