Hatukatai.
Utani wa jadi ni sawa lakini wanasimba sasa mnavuka hadi mipaka ya ushabiki hiki mnachofanya ni vurugu kwenye soka.
Haiwezekani kosa mtupongeze wana Yanga kwa zawadi ya mchezaji wetu ninyi mnaanza kutunanga kweli hii haifai na sio ubinadamu hata kidogo.
Ninyi sio kuanza kusema yafuatayo.
1. Kwamba ng’ombe wa mayele amekonda sana
2. Kwamba ng’ombe alikua anatetemeka sana
3. Kwamba ng’ombe hana kwato
4. Kwamba ng’ombe alitolewa kwa mganga wa jadi
5. Kwamba sisi mashabiki tupeane zamu ya kulinda na kuchunga hao ng’ombe kwamba sisi sio mashabiki ni wachunga mifugo.
TFF, Polisi, hadi ikiwezekana viongozi wote wa kisiasa wajitahidi kuwakanya hawa jamaa maana hiyo ni dhihaka kubwa sana kwetu ushabiki tunakubali lakini huko mlipofika hakufai hata kidogo.