Hivi wanaume kwenye hii mikoba huwa wanaweka nini?



Hawa ni mashoga, wamekaa kidizaini ya wanaume wa Dar au Zanzibar. Kwa kuwa ni mashoga basi humo ndani watakuwa wanaweka pads za tigo ili wasichafue chupi zao pale wanapocheka hadharani.
 
Sidhan kama ni kitu kibaya.. mm binafsi nabeba notebook [emoji429] ndogo charger ya sim, funguo, na vitu vidogo vidogo.. nadhan ni smart way ya kutunza vitu !
 
Uchoko tu, ila Kuna wale studio producers mara nyingi wanabeba vitu vya kazi zao kama demo cds, flash, hard drives etc.
 
Nasikia hiyo ndio inayoitwa pochi nene
 
mi mwenyewe nna kamoja navaa. its not a big deal mkuu naweka Powerbank, chager, flash disk na kitambaa cha majasho. vinasaidia sana mkuu kwa wanaume wa dar mbishe zetu zinaruhusu kuvivaa hivo vibegi.
 
Hivyo vitu huwezi kubeba kwenye begi la kawaida mpaka uweke kwenye mkoba!!?
 
hao sio wanaume mzee, ni viumbe wengine kabisa.
 
Hivyo vitu huwezi kubeba kwenye begi la kawaida mpaka uweke kwenye mkoba!!?
Kwa hiyo wewe na manufacturers nani ni mjinga? Ile ni compatible kuliko begi kubwa. Umeshawahi kupata exposure na kuona wageni wakiwa na design ile ya mikebe? Kuna ya kiume na ya kike hilo la kwanza. Pili, yale yametengenezwa kwa kubea vitu light na ni compatible ktk kubeba. Unabebaje mbegi mkubwa na una tuvitu tuchache twakubeba? Msiwe na akili za kitoto. Grow up!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…