Eversmilin Gal
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 778
- 269
inakuwaje mwanaume
huwapendi watoto wako wa damu yako mke waweza mchukia lakini hadi watoto
nimesikiliza hekaheka huyo baba alivyokua ana pesa lakini anamuachia
mke wake sh 2000 ,wakati mwingine haachi hela kabsa,watoto wamelala
anapuliza dawa ya kunguni kweli huo ubinadamu ukizingatia amemuachisha
mkewe chuo na kazi hataki afanye bado anamnyanyasa anampiga na
kumdhalilisha mbele ya wanae jamani inauma sana
inakuwaje mwanaume huwapendi watoto wako wa damu yako mke waweza mchukia lakini hadi watoto nimesikiliza hekaheka huyo baba alivyokua ana pesa lakini anamuachia mke wake sh 2000 ,wakati mwingine haachi hela kabsa,watoto wamelala anapuliza dawa ya kunguni kweli huo ubinadamu ukizingatia amemuachisha mkewe chuo na kazi hataki afanye bado anamnyanyasa anampiga
Wanawake wenyewe wanachangia,mambo ya small house hayo kaenda bagamoyo kumtia kwenye chupa mume wa mwenzie .
inakuwaje mwanaume huwapendi watoto wako wa damu yako mke
waweza mchukia lakini hadi watoto nimesikiliza hekaheka huyo baba
alivyokua ana pesa lakini anamuachia mke wake sh 2000 ,wakati mwingine
haachi hela kabsa,watoto wamelala anapuliza dawa ya kunguni kweli huo
ubinadamu ukizingatia amemuachisha mkewe chuo na kazi hataki afanye
bado anamnyanyasa anampiga
Wanawake wenyewe wanachangia,mambo ya small house hayo kaenda bagamoyo
kumtia kwenye chupa mume wa mwenzie .
mbona mnasemea huyo mama je watoto
I look well after my kids...kwahiyo siyo kweli wanaume wote ni kauzu. Ila kina dada wengi wakiwa chuoni priorities zao huwa haziangalii future...wanaangalia kuanza kwa kupanda gari na kuishi kwenye ghorofa bila kujari gharama yake inakuwajeakome ujinga wake mwenyewe!
hivi ninyi wanawake wengine mna akili au matope kichwani, maana ningesema mna colgate ingekuwa afadhali. wewe wazazi wamehangaika na wewe mpaka ukafika chuo, halafu linakuja li mwanaume na kukushawishi uache likuoe, na wewe unakubali, halafu yakitokea hayo unalalamika!! shame on you, big shame.
Mi ni mwanaume, lakini ningekuwa na mwanamke wa type hiyo hata sitaki kufikiria ningekufanya nini maana badala ya kutumia akili kufikiria we unatumia kidudu chako, in the name of love,,, haaaaaa! na siajabu aliolewa bila hata kuhusisha wazazi,
akome kabisa
Mahaba yake mwenyewe yamemponza!alijifanya anajua kupenda kuliko wanawake wote pole yake,nawaonea huruma watoto lakini huyo mama alichagua mwenyewe hayo maisha!wanaume ni wakuwapenda juujuu hamna haja ya kwenda deep!
Awww, people can come up with statistics to prove anything :bounce:most of them
inakuwaje mwanaume huwapendi watoto wako wa damu yako mke waweza mchukia lakini hadi watoto nimesikiliza hekaheka huyo baba alivyokua ana pesa lakini anamuachia mke wake sh 2000 ,wakati mwingine haachi hela kabsa,watoto wamelala anapuliza dawa ya kunguni kweli huo ubinadamu ukizingatia amemuachisha mkewe chuo na kazi hataki afanye bado anamnyanyasa anampiga na kumdhalilisha mbele ya wanae jamani inauma sana