Eversmilin Gal
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 778
- 269
kama mnavyokumbuka ile thread ya rafiki yangu anayetaka kufanya maamuzi magumu leo tena kanipigia simu analia eti alikua na mme wake wanacheka mume wake akamuuliza lini unaondoka halafu kamtajia x_girl wake yaani jina lake kwamba he"ll be fu***ing her badly rafiki yangu huyo amelia akajiuliza hivi mbona hakumuoa huyo x-girl wake amemtumia miaka karibu minne leo hii anasema hivyo kweli ni haki mi nimeshindwa la kumuambia nahisi ntampa ushauri mbaya hivi mbona baadhi ya wanaume mnakosa roho ya ubinadamu?????

Word 😛oaIs this some kind of a joke??? Huyo angekuwa rafiki yangu sina cha kumshauri zaidi ya kumtwanga vibao viwili vya nguvu labda atazinduka. Nasikia hasira sana na wanawake wenye lowest self esteem.
Mwisho atamwambia kama unanipenda fanya na mbwa wangu mi nimekuchoka.
Hao ndio wanafanya wadogo zetu waogope kuolewa kwani huwasimulia maisha wanayoishi basi vijana wana conclude kuwa ni bora kuishi single. Kumbe maisha yanakuwa vile unavyotaka yawe.
Ukiwa lege lege lazima utaendeshwa tuuu.. hata uwe na mume mpole vipi utaendeshwa tuuuu.
Kwanza hata huyo mume wake namuhurumia kwani I can imagine atakuwa mke wa aina gani